Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili
kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba
11, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
No comments:
Post a Comment