Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na
mgombea Urais wa tiketi ya CCM Dkt.John Pimbe Magufuli wakitoa heshima
za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu
Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta
juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika
hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.
No comments:
Post a Comment