Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.
Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa Kuwa Kama
Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye
Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na Kushindwa na Kenyatta....SOMA ZAIDI

No comments:
Post a Comment