21 October 2015

Pinda aweka jiwe la msingi Jengo la makazi na Biashara la NHC Place eneo la Victoria jijini Dar es slaam


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua pazia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengoa makazi na biashara la Cictoria Place linalojengwa na NHC katika eneo la Victoria jijini Dar es salam  Octoba 20,2015. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na  Maendeleo ya Makazi, Angela kairuki na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname