Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.
HAB Mkwizu akisoma wasifu wa marehemu Mhe. Celina O. Kombani (Mb) Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais - Utumishi
wakati wa Ibada ya kuuga mwili wake iliyofanyika Viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam siku ya Jumatatu Septemba 28, 2015.
No comments:
Post a Comment