18 October 2015

PAROKO AACHA SWALI GUMU MSIBA WA DEO FILIKUNJOMBE

PAROKO wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Epifania Kijichi, Dar es Salaam, Respis Mzena, amehoji matukio ya watu wengi hasa wanasiasa kufa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kama ni mapenzi ya Mungu.
Paroko huyo alihoji hayo wakati akiongoza ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe na wenzake wawili, waliokufa katika ajali ya helikopta iliyotokea Alhamisi jioni katika Pori la Akiba la Selous.  


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname