14 October 2015

MZEE MAJUTO AREJEA TOKA MAKKA ,ASIMULIA ALIVYONUSURIKA KIFO

 
Staa wa filamu za Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ alipowasili toka kuhiji Makka.
Gladness Mallya na Hamida Hassan
MABADILIKO! Baada ya kunusurika kwenye vifo vya mkanyagano vilivyoua mahujaji zaidi ya 4000 waliokwenda kuhiji katika mji wa Mina, Makka nchini Saudi Arabia, staa wa filamu za Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amerejea salama akiwa shavu dodo na kusema ameachana na maisha ya zamani, sasa amekuwa mtu wa tofauti kabisa.   


 BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname