19 October 2015

MAMA SAMIA AONYESHA UBORA WAKE KATIKA KAMPENI JIMBO LA MBOZI, MBEYA


Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi  baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Mlowo kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika Viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya. Pamoja naye ni Mjumbe wa katai ya kampeni za CCM Kitaifa Mwigulu chemba.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname