Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofayika leo kwenye
viwanja vya shule ya Sekondari Uyui katika jimbo la Tabora mjini.
Maelfu
ya wananchi wakimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo
kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Uyui, jimbo la Tabora mjini
mkoani Tabora


No comments:
Post a Comment