Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa sambamba na Katibu Mkuu
wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwasalimia wakazi wa jiji la Arusha
na vitongoji vyake kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni uliofanyika
katika uwanja wa Kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid,mkoani Arusha
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa sambamba na Katibu
Mkuu
wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwasalimia wakazi wa jiji la Arusha
na vitongoji vyake kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni uliofanyika
katika uwanja wa Kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid,mkoani Arusha.PICHA NA MICHUZI JR-ARUSHA.
No comments:
Post a Comment