Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) akiungwa mkono na vyama vine vinavyounda vuguvugu la Umoja wa
Katiba ya Wananchi, UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimsalimia Bi. Lemmy
Mahogija (albino) na Mtoto wake Zawadi Elias, wakati alipowasili kwenye
Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Masumbwe, Jimbo la Mbogwe, Mkoani Geita leo Oktoba 14, 2015.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment