16 October 2015

January Makamba Asema Haya Baada ya Taarifa Rasmi za Kifo cha Rafiki yake Filikunjombe Kwa Ajali ya Helkopta Kutolewa


Mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano, January Makamba ametweet kuhusu taarifa hizo.

"Nimetoka kupokea taarifa inayothibitisha kwamba chopa aliyokuwa amekodi Ndugu yetu Filikunjombe imeanguka na watu wote wamefariki"

"Siku mbili zilizopita niliongea kwa kirefu na Deo kuhusu mikakati. Nimepoteza rafiki na ndugu. Mungu amrehemu na pole kwa familia za wafiwa"

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname