09 October 2015

HIVI NDIVYO LOWASSA ALIVYOPOKELEWA JIJINI ARUSHA LEO


Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa ameambatana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Godbress Lema, wakiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 8, 2015. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname