17 October 2015

Dk.Ali Mohamed Shein AFUNGUA TAWI LA CCM MOMBASA KWA MCHINA


????????????????????????????????????
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Tawi jipya la Mombasa kwa Mchina Bi.Subira Kahlan Uruwa wakati alipowasili katika viwanja vya Tawi hilo kwa ajili ya kulifungua rasmi leo,(katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja kichama Yussuf Mohamed Yussuf
????????????????????????????????????
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepekulifungua tawi Jipya la CCM Mombasa kwa Mchina leo,(kulia) Mwenyekiti wa Ujenzi wa Tawi hilo Ahmada Yahya Abdulwakil na (kushoto) Mwenyekiti wa Tawi Bi.Subira Kahlan Uruwa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname