15 October 2015

DK. MAGUFULI AMFAGILIA DIAMOND PLATINUMZ

RICHARD BUKOS, aliyekuwa Lindi
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amemmwagia sifa lukuki, mkali wao ndani ya muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kutokana na ushindi wa tuzo tatu za Afrimma zilizofanyika wikiendi iliyopita nchini Marekani  


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname