06 October 2015

DIAMOND PLATINUMS AMESEMA ZARI HAWEZI KUHAMIA TANZANIA MOJA KWA MOJA

Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady tayari wameziunganisha familia zao kwa kumpata mtoto wao wa kwanza Tiffah, lakini hakuna mpango wa mrembo huyo Mganda kuhamia moja kwa moja Tanzania ili kutengezeza familia moja.
Diamond a.k.a Baba Tiffah licha ya kuwa amekuwa akitoa ahadi ya kufunga ndoa na Zari bila kusema lini, amesema kuwa hakuna mpango wa Zari kuhamia Tanzania moja kwa moja kutokana na kuwa na biashara zake Uganda na Afrika Kusini.  

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname