BREAKING NEWZZZ......AZAM WAIBOMOA TENA BBC ..SAFARI HII WAMBEBA KASSIM KAYRA
MTANGAZAJI MAARUFU NA MKONGWE KUTOKA BBC ,LEO HII AMEAGA RASMI NA HABARI ZA UHAKIKA ZINASEMEKANA ANAKWENDA KUJIUNGA NA AZAM TZ YA JIJINI DAR ES SALAAM..ENDELEA KUTEMBELEA THE CHOICE KWA HABARI ZAIDI .
No comments:
Post a Comment