Mama
Lowassa alishangazwa na umati uliojitokeza baada ya taarifa ya masaa
matutu kuwa atasimama Chimala. Mh. Mwang'ombe akitoa shukrani zake kwa
mama Lowassa kufika Mbarali alisema "Mbarali ina wapiga kura 143189 na
watu wa Mbarali wameonyesha kila dalili ya kutaka mabadiliko".
Mwang'ombe aliwaomba watu wa Mbarali wampeleke Dodoma akihutubia na
kuwasisitiza wajitokeze kwa wingi Jumapili, tarehe 18/10/2015 saa 3
asubuhi ambapo Mh. Lowassa atakuwa anaunguruma naye.
No comments:
Post a Comment