20 October 2015

BREAKING NEWS: KILICHOHILI MAHAKAMANI MUDA HUU KESI YA KULINDA KURA KWA KUKAA UMBALI WA MITA 200


Kesi ya wapiga kura kukaa mita 200 yaahirishwa
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imehairisha kesi namba 37 ya mwaka huu, ya mlalamikaji kuiomba mahakama itoe tafsiri ya kifungu cha 104 kidogo cha (1) cha Sheria ya Uchaguzi kama kinazuia ama la wananchi kukaa umbali wa mita 200 baada ya kupiga kura katika vituo. Anaandika Josephat Isango …  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname