Muimbaji kutoka Nigeria Davido alifikisha followers milioni moja kwenye mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram na
kutoa zawadi ya ada ya shule kwa mwanafunzi mmoja aliyetaka kwenda kusoma Uingereza.

Muimbaji mwingine nae kutoka Nigeria WizKid naye amefikisha followers milioni moja instagram.
Wiz hajandika kitu chochote awali kuhusu kufikisha namba hii na kitu gani atafanyia mashabikiwa wake.
No comments:
Post a Comment