24 September 2015

WASANII WA KIKE WALIO KWENYE MAPENZI NA WADOGO ZAO


Aunt Ezekiel na Moze Iyobo
Mwigizaji wa filamu za bongo, Aunt Ezekiel, mwenye miaka 29, yupo kwenye mahaba mazito na Moze Iyobo, mwenye miaka 23, ambaye ni mnenguaji wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname