.
 |
| Mkazi wa Sinza Mohammed Hamisi (27)
akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi
(kushoto) na mshereheshaji wa promosheni hiyo Gadner Habash (kulia) wakati
promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ilipofunga kambi katika viwanja vya
sanaa vilivyopo Legho, Sinza jijini Dar es salaam kusherekea ushindi wa baa
zaidi ya sita zilizo kwenye mkondo mmoja. Baa
hizo ni Amigos,
Massawe, Dagaa dagaa, Sina Contena, Saa junction, Chua pub na Lucy pub. |
 |
| Mkazi wa Mwanza na mpenzi wa bia ya Tusker Hillary Minja (katikati)
ambaye alikuwepo kwenye promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani akionyesha
zawadi yake ya fulana aliyokabidhiwa na Mtangazaji wa redio Efm na
Mshereheshaji wa promosheni hiyo ya Tusker Gadner Habash (kushoto) kwenye hafla
ya kuzipongeza baa 7 zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa pamoja ziliibuka baa
za wiki kwenye shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani lililofanyika katika
viwanja vya sanaa vilivyopo Legho Sinza jijini Dar es salaam. Baa hizo ni Amigos, Massawe, Dagaa dagaa, Sina Contena, Saa
junction, Chua pub na Lucy pub Anaeshuhudia (kulia) ni balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi |
 |
| Mpenzi wa bia ya Tusker Bw. Gaspar
Makongoro (38) (katikati) akiizungumzia bia ya Tusker na kwanini anafurahia
kinywaji hicho kwenye hafla ya kuzipongeza baa 7 zilizo kwenye mkondo mmoja kwenye
promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani katika viwanja vya sanaa vilivyopo Legho, Sinza
jijini Dar es salaam. Baa hizo ni Amigos, Massawe, Dagaa
dagaa, Sina Contena, Saa junction, Chua pub na Lucy pub
Anaeshuhudia (kulia) ni balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi. |
 |
| Mpenzi wa kinywaji cha Tusker na mkazi wa Sinza
Rosemary John (Kulia) akifurahi kwa pamoja na Meneja Mipango na matukio-SBL
Lulu Mduma (kushoto) baada ya kukabidhiwa zawadi ya fulana kwenye promosheni ya
Tusker Fanyakweli Kiwanjani ambayo ilifunga kambi katika viwanja vya sanaa
vilivyopo Legho, Sinza jijini Dar es salaam kusherekea ushindi wa baa zaidi ya
sita zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa pamoja ziliibuka washindi wa wiki wa
promosheni hiyo inayoendeshwa na bia ya Tusker. Baa
hizo ni Amigos,
Massawe, Dagaa dagaa, Sina Contena, Saa junction, Chua pub na Lucy pub. |
 |
| Mkazi wa Sinza Mohammed Hamisi (27) akipokea
zawadi yake ya fulana toka kwa balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi (kushoto)
na mshereheshaji wa promosheni hiyo Gadner Habash (kulia) wakati promosheni ya
Tusker Fanyakweli Kiwanjani ilipofunga kambi katika viwanja vya sanaa vilivyopo
Legho, Sinza jijini Dar es salaam kusherekea ushindi wa baa zaidi ya sita
zilizo kwenye mkondo mmoja. Baa hizo ni Amigos, Massawe, Dagaa
dagaa, Sina Contena, Saa junction, Chua pub na Lucy pub. |
07/09/2014,
Kampeni ya Tusker Fanyakweli
Kiwanjani inayoendeshwa na Kampuni ya bia ya Serengeti kwa udhamini wa bia bora
Afrika ya Tusker wiki hii imekuja na mvuto wa aina yake baada ya kuzikutanisha
na kuzifanyia sherehe baa mbalimbali zilizopo kwenye mkondo/mtaa mmoja.
Tukio hilo ambalo lilionekana
kuwafurahisha wapenzi wa bia ya Tusker lilifanyika wikiendi ya Jumamosi katika mtaa
wa Legho, Sinza jijini Dar es salaam ambapo baa zaidi ya 6 zote kutoka Sinza ziliungana
kushiriki katika sherehe hizo. Baa hizo ni:- Amigos, Massawe, Dagaa
dagaa, Sina Contena, Saa junction, Chua pub na Lucy pub.
Akizungumza
wakati wa uzinduzi wa sherehe hizo, Meneja Masoko wa bia ya Tusker Bi. Nandi Mwiyombella alisema
mpaka kufikia sasa kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani imepokelewa vyema na
wateja wa bia hiyo jijini Dar na hata mikoani ambapo kampeni hiyo pia
inaendelea.
“Promosheni
hii ni muendelezo wa Kampeni ya Tusker Fanya Kweli kama inavyoonekana kwenye mabango na matangazo
ya radio pia ni kampeni inayolenga kuleta muamko wa hamasa kwa watanzania
waweze kutekeleza malengo yao waliyoyapanga“.
Alisema
kuwa katika maisha baadhi ya malengo yanayotarajiwa ni pamoja na kujenga nyumba, kufunga ndoa,
kununua gari kuanzisha biashara na
kadhalika. Mafanikio ni hatua na kila hatua inastahili pongezi na kusherehekea
matunda ya mafanikio hayo,bia ya Tusker inatambua juhudi za watanzania ambapo juhudi
lazima ziendane na utekelezaji na katika kufanya hivyo basi mtanzania anapiga
hatua hivyo kupitia Kampeni hii Bia ya Tusker inampongeza mtanzania kwa kila
hatua anayopiga.
Tunaamini kwamba kupitia Kampeni hii ujumbe huu utawafikia
watanzania wote kwa urahisi zaidi.Bia ya Tusker inatoa hamasa na kusema tufanye
kweli na Tusker inatambua kila hatua ya maendeleo iliyopigwa.
Bi.
Mwiyombella aliongeza kuwa sherehe za Tusker Fanya Kweli Kiwanjani pia zinalenga
kujenga uaminifu kwa wateja na kurudisha shukrani kwao huku wakisherekea kwa
pamoja na bia waipendayo ya Tusker. Sherehe hizi za mkondo wa baa tofauti ni
muendelezo wa kampeni ya Fanya Kweli Kiwanjani; ikiwa na mkusanyiko wenye ari
na muamko zaidi na hivyo ni burudani zaidi sambamba na zawadi nyingi zaidi kwa
wateja.
Kampeni
ya Fanya Kweli Kiwanjani itaendelea mpaka mwisho wa mwezi wa kumi huku sherehe
za mkondo wa baa zikitegemewa kuwafikia pia mashabiki wa bia ya Tuskerwaliopo
Arusha na Mwanza kabla ya kampeni kufikia tamati.
No comments:
Post a Comment