Riyama Amshushua Muandishi Huyu
“Dah kweli njaa mabaya na wote tuna njaa ila sio kwa
mtindo huu niuongo mtupu wewe muandishi ulieandika hii habari sema na
njaa yako sipendi kuchafuliwa hakuna ukweli juu ya hili wapendwa wangu
ifike mahala tuwe tunafanya kazi kwa umakini tusiropoke tu mradi tuna pa
kuropokea sipendi kuona uongo unageukzwa kua ukweli na ukweli
unageukzwa kua uongo dah inakera sana.........”
Riyama ameandika kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya gazeti hiyo hapo juu.
No comments:
Post a Comment