Baraza la Basata wameufungia rasmi wimbo wa msanii Roma Mkatoliki
uitwao ‘Viva Roma Viva ‘ na nyinginezo zenye ujumbe kama ule. Basata
imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna
ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.
No comments:
Post a Comment