29 September 2015

NEWS ALERT..!! AJALI MBAYA YA BASI LA NGORIKA YAUA ASKARI WA JWTZ NA KUJERUHI WENGINE 33

Watu wawili wamefariki dunia akiwemo askari wa Jeshi la wananchi (JWTZ) na wengine 33 kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ngorika kuigonga kwa mbele Toyota Costa eneo la Misugusugu mjini Kibaha . 
Ajali hiyo imetokea wakati basi hilo likitokea Dar esalaam kwenda Arusha ambapo ilipofika eneo hilo dereva alihama upande wake wa njia kuyapita


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname