Zikiwa zimebakia siku 31 kuelekea uchaguzi mkuu, msanii Nay wa Mitego kupitia account yake ya Instagram amendika hivii;
“Wasanii tubaki kua wahamasishaji
tu!Kuanza kukashfu Viongozi utadhani labda nawewe umekua mwana Siasa au
Mgombea itakuja kutu Cost baadae. Hua najiuliza cjui wanalipwa shiling
ngapi maana wanasahau wao ni wasanii na wana Mashabiki wenye Imani
tofauti, pia kuna Maisha baada ya uchaguzi. Endeleeni kutumika vibaya
kwa Njaa ya leo na kwa maslahi ya wachache na kusahau kuna kesho.
Pigania unacho amini but si kwa kashfa wala Matusi. Mimi naamini #Mabadiliko2015 .Tukutane #October25”
No comments:
Post a Comment