08 September 2015

MNYIKA AWAUMBUA WATANZANIA NA KUMTWANGA RAFIKI YAKE DR SLAA

Mgombe ubunge kwa kupitia UKAWA kwa tiketi ya CHADEMA, John Mnyika, jana ameonyesha kuwa hata yeye haungani mkono na rafiki wake wa karibu Dr Slaa, na kumwita Samson aliye shawishiwa na Delila kukisaliti chama.
"Si mnamkumbuka Samsoni wetu aliyedanganywa na Delila..? anayesema sisi tumehamisha uchafu chooni na kuuweka sebureni..? 


BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname