MGOMBEA
Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa
mkono na Vyama vinavyounda Ukawa,Edward Lowassa amezidi pasua anga
ndani ya nchi,
Baada ya leo kutikisa ngome ya CCM mkoani Dodoma na
kushuhudiwa na Maelfu ya wakazi wa Mkoa huo kama ambayo picha
zinavyoonyesha.

No comments:
Post a Comment