10 September 2015

MASKINI WASTARA! AZIMIA NDANI YA GARI

 
Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma akilia ndani ya gari lake.
Brighton Masalu
MASKINI! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amezimia ndani ya gari, kisa kikiwa ni sakata la dada zake kuibiana mume, Amani linaweza kuandika.
Mkasa huo wa kusikitisha ulijiri mapema wiki hii, Kinondoni, Dar ambapo staa  huyo alikuwa ameegesha gari lake pembeni mwa barabara.


BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname