MATAJIRI WATANO WALIOIBEBA CHADEMA KWENYE HALAMBEE YA KUCHANGIA KAMPENI ZA UCHAGUZI
Dar
es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama chake
kina watu watano wenye uwezo wa kiuchumi wanaoweza kukisaidia chama
hicho kuendesha shughuli zake za kampeni, ikiwa ni siku 32 kabla ya
wananchi kupiga kura Oktoba 25.
No comments:
Post a Comment