Peter Okoye akiwa na mkewe.
KILA mwanaume anatamani kuwa na mpenzi mzuri, lakini linapokuja suala la mapenzi kigezo cha uzuri wa mtu huweza kuwa na tafsiri pana kiasi kwamba wahenga hawakukosea waliposema kipendacho roho hula nyama mbichi huku Wazungu wakiwa na usemi wa: ‘Beauty is in the eyes of the beholder’ wakiwa na maana kwamba uzuri upo ndani ya macho ya mtu atazamaye.
No comments:
Post a Comment