MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE,KESHO KUUNGURUMA LIVE UWANJA WA JAMHURI MKOANI DODOMA
Pichani
kati ni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli akiwa sambamba na
Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde kwa pamoja
wakiwapungia wananchi wa jimbo la Mtera (hawapo pichani),ndani ya mji wa
Mvumi wilayani Chamwino mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment