18 September 2015

LOWASSA AINGIA MKOA WA KAGERA,ATIKISA JIMBO LA MULEBA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishuka kutoka kwenye Helkopta anayoitumia kwa ziara zake za Kampeni, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera leo Septemba 15, 2015. 

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname