04 September 2015

LOWASA AMTETEMESHA ZITTO KABWE KATIKA JIMBO LAKE LEO HII




MGOMBEA Urais kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na 
Maendeleo Chadema Edward Lowassa ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA ametua rasmi mkoani Kigoma na kupokelewa na Umati mkubwa wa watu kama unavyoona kwenye picha hizo.
     Mkoa wa Kigoma ambapo inadaiwa ni ngome kubwa ya chama cha ACT-Wazalendo kuingia huku kwa Lowassa ni kama kumeitikisa ngome hiyo ambayo imetengenezwa na Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname