HII BALAA......LOWASA AFUNIKA DODOMA WATU WAMSINDIKIZA HADI GETINI NYUMBANI KWAKE HAPO DODOMA..POLISI WAJAA NYOMI
Lowasa
katika viwanja vya BARAFU dodoma leo ameweka Historia katika mkutano
huo kwa umati mkubwa wa watu uliojitokeza kumlaki na kumsikiliza.
Baada
ya mkutano kumalizika wananchi hawakuridhika wakaamua kumsindikiza hadi
nyumbani kwake dodoma na umati mkubwa sana uliwasili nyumbani kwake
wakifwatana na msafara wake jambo ambalo halikuwahi kutokea kwa mgombea
mwingine katika mji huo ambao ni mji mkuu wa Tanzania
No comments:
Post a Comment