19 September 2015

DIAMOND PLATINUMS ,ZARI BOSS LADY HALI TETE




Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na mtoto wake.
Breaking news! Saa chache kabla ya ile sherehe ya kukata na shoka ya 40 ya mtoto wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’ inayotarajiwa kufanyika mapema kesho, ndani ya familia hiyo kunadaiwa kuibuka bonge la mpasuko.Habari kutoka kwa chanzo makini ndani ya familia hiyo yenye maskani yake nje kidogo ya Jiji la Dar, maeneo ya Madale-Tegeta zilieleza kuwa, kuna madai mazito ya usengenyaji ambayo yametawala yanayodaiwa kutia doa katika shughuli hiyo ya kesho. SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname