Diamond Platnumz amesema kitendo cha Producer na Rapper wa Marekani,
Swizz Beatz kupost video mbili akisikiliza nyimbo zake kinaonesha kuwa
mziki wa Bongo fleva umeanza kukubalika nje, na ndio maana alirepost
video ya ‘Nataka kulewa’ kwasababu kama angepost ya ‘Nana’ wanaija
wangeona ni kwasababu yao.
Wakati anazungumza na kipindi cha XXL cha Cloudsfm, Diamond alisema “Nilikuwa studio nikaambiwa tu jamaa kapost wimbo wake, baada ya dakika chache nikaona amenifollow ndio maana nikaweka picha nikiwa studio na Neyo ili akinifuatilia zaidi ajue jamaa niko powa sababu ya collabo za kimataifa, nilitaka kurepost Nana ila nikajua wanigeria watajua Swizz kasikiliza nyimbo kupitia Nigeria, nili repost Nataka kulewa ili kuwaonyesha wanaigeria ni muziki wa Tanzania unakubalika”

No comments:
Post a Comment