BREAKING NEWS: ALIYEKUWA WAZIRI WA UTUMISI CELINA KOMBANI AMEFARIKI DUNIA
Habari
zilizotufikia jioni hii zinasema kwamba Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeashi Kombani (pichani),
amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani.
Alikuwa na umri wa miaka 56.
No comments:
Post a Comment