03 August 2015

ZARI AKUNJUA MAKUCHA, AWAONESHA DHARAU NDUGU WA DIAMOND


Sstaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Stop! Wakati akisubiriwa kujifungua muda wowote, mwandani wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ anadaiwa kuwazuia baadhi ya ndugu wa jamaa huyo kuingia kwenye  chumba maalum kilichoandaliwa ili kuepuka kisiingie vumbi na kiwe safi wakati wote.   


BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname