Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada wa CCMkutoka
katika tasnia ya filamu na wasanii wa bongofleva pia walikuwepo licha
ya kutokana na ufinyu wa muda waliopata nafasi ya kuperform hadi sasa
ni Peter Msechu, Yamoto Band na Diamond Platnumz sambamba
na timu ya watu wake.Kwa upande wa wasanii wa filamu na baadhi ya
wasanii wa muziki wa bongofleva wao walipanda katika stage na kuimba
wimbo wa taifa kwa pamoja.

No comments:
Post a Comment