Mgombea Urais wa tiketi ya Chama cha Democratic Party (DP), Christopher Mtikila alipokwenda kuchukua fomu za urais
WANASIASA
wakongwe nchini, Christopher Mtikila na John Lifa- Chipaka wametupwa
nje ya kinyang’anyiro cha kugombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kutokana na kushindwa kutimiza vigezo vya kisheria.
Anaandika Jabir Idrissa … Bofya (endelea).
No comments:
Post a Comment