LOWASSA SASA MGUU PANDE MGUU SAWA KIMAPAMBANO,SOMA HAPO KUJUA
Mgombea
urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na
Ukawa, Mhe. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea Mwenza Juma Haji Duni
leo wamekamilisha zoezi la kurudisha fomu katika tume ya Taifa ya
Uchaguzi.
No comments:
Post a Comment