Edward Ngoyai Lowassa.
“Nimetumia
muda huu kutafakari kwa kina yaliyotokea Dodoma na hatima yangu ya
kisiasa nchini. Ninajua marafiki wengi na wananchi wenzangu wanaoniunga
mkono wamekuwa wakisubiri kwa hamu nitoe kauli…
“Nitakuwa mnafiki
kujidanganya mimi mwenyewe na Watanzania kwamba bado nina imani na CCM…
CCM niliyoiona Dodoma siyo kile chama nilichokulia chenye maadili. Ni
dhahiri kuwa CCM kimepotoka na kupoteza maadili.
No comments:
Post a Comment