Kocha wa Simba Dylan Kerr (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia goli timu ya viongozi wa Simba
Kocha mkuu wa Simba Dylan Kerr
jana alitupia goli pekee wakati timu ya viongozi wa Simba ilipoikabili
timu ya Bongo Movies kwenye mchezo wa utangulizi kabla ya mchezo wa
kirafiki wa kimataifa kati ya Simba SC dhidi ya SC Villa ya Uganda
wakati wa maadhimisho ya siku ya Simba Day siku ambayo huadhimishwa kila
ifikapo Agosti 8, kila mwaka.
Kikosi cha wachezaji wa timu ya viongozi wa Simba pamoja na viongozi wengine wa benchi la ufundi wa kikosi hicho
Picha nyingine wakati wa mechi ya viongozi wa Simba SC dhidi ya Bongo Movies
No comments:
Post a Comment