Jana katika vyombo mbalimbali vya habari kulikuwa na taarifa
zilizozagaa kuwa Lipumba ana mpango wa Kujiuzulu, lakini Taarifa hizi
hazikuwa rasmi sana.
Leo nimeipata taarifa rasmi kutoka kwenye Kikao ambacho Prof. Lipumbaamekifanya Dar, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama hicho.
No comments:
Post a Comment