Msichana anayejiita Baby ake huku instagram anazidi rusha hisia zake kwa
Diamond Platnumz..Sasa leo amekuja na mpya na kusema haya hapa chini
kuhusu Zari ambae ndio mchumba wa Diamond Kwa sasa:
Nimeaminii kwelii uyu mwanamkee ni mzeee ajiamini.... etii kaona
nimetangaza nia ya u Mrs Diamond kani block.... we demu ujiaminii live
ni Rambo nini?... sasa ata ukiniblock bwanakoo ntampata tuu... namimi
ntapikiwa na kubebewa mapochi... khaa kizuri kula na wenzio we kwanza
sio mtz iweje ujimilikishe..... embu jiangalie unifikii ata nusuu uwoo
weupe tuu.... kwanza mademu weupe sio ata watamu.... au waringia
miguu... kwa mange alisema ni ugojwa.... au iyoo mimbaa..... sasa kama
umembebea D mimba mie ntampa nyumaa tuone atamchagua nani.. unifii we
we.... mie black beauty mi hasilia siweki mokope na situmii 360 siweki
miywele.... bandia wala mikope kama wewe.... kwanza diamond upenda vitu
asili.... mie mwepesi kitanda sioo wewe gogoo
Sijali mabaya mnayoyaonga kwangu Hata kama yatakuwa machungu na
mazito kiasi gani,kumpenda mtu sio dhambi na wala sio kosa la jinai ila
tu najua nachukiwa sababu nampenda mtu ambaye anapendwa na wengi sababu
na jua miongoni kwa watu wanaonichukia na kunktusi kwa sababu ya D ndo
hao hao ambao nafsi zao zinawauma na Kukereka pale ninapoeleza hisia
zangu ila mimi hayo yote hayanitishi sababu haja ya moyo wangu naijua,na
nyie mnaosema mimi natafuta followers kazaneni kusema lakini hakuna
niliyemfata nikamwambia njoo kwangu ni kwa hiari zenu na bado mkiamua
mnayo nafasi ya kuniufollow ili nisizidi kuwakera,sitaacha kumpenda D
nampenda nampenda nampenda Hata kama sitakuwa nae ila kitendo tu cha
yeye kujua kama nampenda basi kwangu ni faraja na inatosha,mchana mwema
kwenu
No comments:
Post a Comment