Ngoma alifunga goli hilo kwa kichwa akiunganisha mpira wa kona uliopigwa na Andrey Coutinho dakika ya 50 ya mchezo.
Mchezo huo ulikuwa ni wa kujipima
nguvu kwa timu zote mbili kuelekea kwenye michuano ya Kagame ambayo
inatarajia kuanza kutimua vumbi Julai 18 mwaka huu jijini Dar es Salaam
ambapo timu hizo (Yanga na KMKM) zote zipo kwenye kundi moja na
zitakutana kwenye michuano hiyo kwenye hatua ya makundi.
No comments:
Post a Comment