2015 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, kila siku stori za Siasa zimekuwa kwenye headlines nyingi kuanzia Magazetini, kwenye TV, Radio na hata mitandaoni.
Mbunge James Lembeli alikuwa pia ni Mwenyekiti wa Kamatiya Bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili.. kuna stori za baadhi ya Wabunge wametangazwa kuhama Vyama vyao, Lembeli kathibitisha kuhama CCM kwa maneno yake mwenyewe.
No comments:
Post a Comment