19 July 2015

JOKATE KIDOTI, DIAMOND PLATINUMZ KIMENUKA MBAYA INSTAGRAM! SHUHUDIA JINSI ILIVYO HAPA..

photo-collage
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za #MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @   

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname