Kwa Mtazamo wangu Lowassa amefanya kosa kubwa sana kutowekeza Mtaji wake
kwa Wakataji wa Majina ndani ya CCM , Lowassa Aliwekeza sana kwa Watu
wa Nje na mashabiki wake kiasi cha kupendwa kila kona na kusahau kuwa
Wakataji wa Majina si Hao Wananchi wanaomshangilia kwa nguvu huko nje
kila anapopita....Kwangu hilo ndio kosa kubwa kwa Lowassa..
.JE wewe Unaona ?
No comments:
Post a Comment